Kiteressa

Kiteressa ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Wateressa visiwani mwa Andaman na Nikobari. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiteressa imehesabiwa kuwa watu 2080. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiteressa iko katika kundi la Kinikobari.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search